Ujio wa TB JOSHUA nchini TANZANIA


Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam.
Zimenifikia picha pamoja na taarifa kutoka Ikulu kuhusu ujio wa Mhubiri wa Kanisa la Church of All Nations  lililopo Nigeria, TB Joshua ambaye tayari ametua Dar.
TB Joshua amekuja kama mmoja ya wageni watakaoshuhudia tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.
IMG-20151103-WA0010
TB Joshua akiwa ameongozana na Dk. John Pombe Magufuli, Rais mteule aliyeshinda Uchaguzi Mkuu Tanzania baada ya kutua Uwanja wa Ndege Dar es Salaam.
IMG-20151103-WA0012
.
unnamed
Rais Kikwete na TB Joshua.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment